Monday, 10 November 2014

MIHIMILI MIKUU Y A NDOA

Habari za majukumu mbalimbali ya kiuchumi ndugu wasomaji wa wavuti hii, bila shaka nyote ni wazima kwa uweza wa mwenyezi Mungu muumba mbingu na nchi. Kwa wale ambao afya zao zimetetereka kidogo Mungu yu pamoja nanyi mtapona.
Leo napenda kutaja mambo matano (5) muhimu ambayo ni mihimili mikuu inayofanya ndoa yo yote iweze kudumu: -
1)      Uvumilifu.
2)      Ucha Mungu.
3)      Bidii ya kazi.
4)      Roho ya kujitawala.
5)      Roho ya kusamehe.
Mihimili tajwa hapo juu imepangwa si kwa mfuatano wa kipaumbele bali imepangwa kiholela.
Ufafanuzi wa kina wa kila kipengele unapatikana kwenye blogu ya http://mkombozi-mahusiano.blogspot.com ambayo gharama yake ya kujiunga uwanachama ni TZS. 10,000.00 malipo yafanyike kwa Airtel Money  0784190882 au TiGO pesa 0719841988. Blogu hii imeshehena makala mbalimbali kuhusiana na mbinu za kujenga na kuboresha mahusiano. Fanya uamuzi hutajutia uamuzi wa kujiunga na blogu husika.

Karibu kwenye makala ijayo na waalike na wenzio, ili uendelee kupata maarifa ya kuimarisha na kuboresha mahusiano.

No comments:

Post a Comment