Kutokana na maoni na ushauri wa wasomaji wengi, nimekubali kutengeneza Blogu mpya http://jipatiemchumba.blogspot.com itakayowaunganisha watu mbalimbali kuwa wapenzi kwa lengo la kufunga ndoa kwa mapenzi ya Mungu.
Ili kuweza kupata kibali cha kuingia kwenye blogu tajwa hapo juu ni budi:-
1) Tuma TZS. 10,000.00 kwenye 0719841988 kwa Tigo pesa.
2) Tuma anuani pepe (E-mail address) yako ya google kwa fkmwamoto@gmail.com pamoja na kumbukumbu namba ya pesa uliyotuma. Kama huna anuani pepe ya google nakushauri ufungue au uombe msaada kwangu.
3) Toa sifa zako kwa mtiririko ufuatao: -
i. Umri wako:
ii. Jinsia:
iii. Kimo cha chako:
iv. Rangi yako:
v. Kazi yako:
vi. Elimu yako:
vii. Tabia usiyoipenda: ......................(e.g. Ulevi, Uvutaji sigara, n.k)
viii. Dini yako:
ix. Unapenda nini? …………………………(e.g. Muziki, kujisomea, kuangalia TV n.k)
Ambatanisho picha yako pasipoti au kamili.
4) Unayemtaka awe na sifa zifuatazo:-
i. Umri wake:
ii. Jinsia:
iii. Kimo chake:
iv. Rangi yake:
v. Kazi yake:
vi. Elimu yake:
vii. Tabia usiyopendezwa nayo:
viii. Dini yake:
ix. Awe anapenda kitu gani?
5) Uanachama kwenye Blogu hii, utasitishwa kwa mwanachama ye yote iwepo:-
i. Iwepo mwanachama atabainika kumtukana mwanachama mwenzie kwa njia ya sms/e-mail kwa sababu ya kushindwa kuafikiana.
ii. Atasambaza namba ya simu/anuani pepe ya mwanachama mwenzake pasipo idhini ya husika.
Vigezo vitaendelea kuongezeka kadiri hali itakavyotulazimisha kufanya, karibu usikate tamaa mme/mke utaweza kumpata kwa kupitia blogu hii.
No comments:
Post a Comment